naomba kuuliza wadau juu ya OTEAS,, je baada ya kumaliza process zote utajuaje kuwa maombi yako yamepokelewa sehemu husika?,,, maana nnachoona ni baada ya kujaza mikoa uki click sehemu ya save ndo unaambiwa kuwa you have successful completed your application,, sijaona sehemu ya ku submit application