Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,783
- 1,590
not true....nimeangalia kifurushi changu cha MB400 wamekula kama kawaida yaomi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
ila kwa hapa mchungaji umeteleza....whats jf forUtata mtupu! Next time call Airtel costumer care ! asante kwa ushauri wako
Usijaze server ya JF UKizingatia hujachangia kitu kwa invisible
True pal...waliahidi kutoa ofa mpya za krismas naona wako kimya...au ndo washapata wateja wengi wanaamua kuichinjia bahariniHawa jamaa wana dalili za uongo, kwasababu txt walituma ya kusitisha hiyo ofa lakini ukibonyeza *102*6# wanaonesha kuwa una 200MB za kutumia kuanzia saa 5uck-12alfj, ukijaribu tu intaneti utaliwa mpaka ushangae.
Huyu ni kawaida yake. Kwani humfahamu?ila kwa hapa mchungaji umeteleza....whats jf for
Rudini tiGO Wanatoa Free unlimited internet
Itakuwa inategemea na eneo ulipo, mi natumia mchana na haipo slow kiivyo, na usiku na download hadi movietatizo la tigo sio unlimited, Tigo wana mafua tena mafua ya ndege
TIGO is UNLIMITED ???
Plz guide me how ?
labda wamekusahau tu kwa muda.uki connect next time wanakata zotemi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
labda wamekusahau tu kwa muda.uki connect next time wanakata zote
Mkuu nimeku pm cheki pm zakoRudini tiGO Wanatoa Free unlimited internet
Hakuna cha unlimited ktk ofa ya TIGO, nimejiunga nayo baada ya kutumia kama MB160 hivi wanadisconnect na sms juu ikisema Umefikia kiwango chako cha 71680Kbytes.Mtumiaji wa intaneti ya simu atakatwa Sh 50/MB.Mtumiaji wa Modem ataendelea kutumia intaneti bureAndika neno BURE tuma kwenda 15166, inatumika kwa siku mbili unakuwa unajiunga tena kila baada ya siku mbili
Mkuu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza apo apo tunachakachua tena ukipata mda nipm nikupe maujanja ya hao hapo mie nimeshausha vitu toka mornin bureeeeee.. sasa nimefika kama mb 800 hivi speed kubwa hehe :A S embarassed:Hakuna cha unlimited ktk ofa ya TIGO, nimejiunga nayo baada ya kutumia kama MB160 hivi wanadisconnect na sms juu ikisema Umefikia kiwango chako cha 71680Kbytes.Mtumiaji wa intaneti ya simu atakatwa Sh 50/MB.Mtumiaji wa Modem ataendelea kutumia intaneti bure
Time: 26/12/2011 17:04:10
mie natumia modem niki connect tena inagoma.....so hakuna cha unlimited ofa bali ni mb kadhaa tu