Kuhusu No reforms No election.

Kuhusu No reforms No election.

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:-
1. Wapinzani watazuia uchaguzi kwa nguvu. Kuzuia uchaguzi kwa nguvu kutasababisha pengine watu wengi kupata madhara makubwa makubwa.

2. Madhara makubwa makubwa hayo yatasababisha kelele Dunia nzima.
3. Baada ya hapo watawala watatakiwa kuiambia Dunia ni kwa nini madhara hayo yametokea?

4. Katika kujibu hoja hizo za kwa nini kumetokea vurugu kwa kiasi hicho, kwa vyovyote vile wapinzani na serikali watatakiwa kukaa meza moja kwa usimamizi wa chombo kitakachoundwa ama na Umoja wa Mataifa au EA nk.
5. Hatua itakayofuata ni kusikiliza hizi pande mbili zinazohasimiana.

6.Ikifika hatua hiyo, CHADEMA/ Vyama vya Upinzani watakuwa na advantage kubwa zaidi kwa sababu madai ya kuwa na sheria nzuri za Uchaguzi yalianza miaka mingi lakini pia Waangalizi wa chaguzi zilizopita watakuwa mashahidi kwa upande wa CHADEMA.

7. Hapo ndipo sasa Reforms za Uchaguzi zitakapopatikana kwa usimamizi maalumu na huo ndo utakuwa ukombozi wa Nchi hii.

NB:- Kama kutakuwa na mauaji, baadhi ya viongozi The Hague( ICC) itawahusu.

No reforms No election.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom