TYRION LANNISTER
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 224
- 207
Good transport infrastructure underpins economic growth. Na bila hilo tutaendelea kukwama tuuu. Naamini kuwa mheshimiwa wetu ana nia nzuri kabisa lakini najiuliza kama ndio tumeamua kujifunza kwa nini tusikae mezani na kuweka mikakati ambayo inaendana na mipango yetu ya maendeleo, idadi ya watu, maendeleo ya dunia na bila kusahau karne tuliyo nayo.
Ndege:
Mwaka 2005 shirika lao la ndege lilikuwa na kitu kinaitwa VISION 2010 ambamo moja kati ya malengo ni kugeuza turnover yao from $400-million in 2005 to $1-billion within five years!!!!
Na walisema ndege zao zingeenda nchi 52 za Africa na zingine zingeenda Middle East, Europe, Asia na Marekani ya kaskazini na kusini.
Lakini wa habeshi wakafanya maajabu...
Ilipofika mwaka 2010 wakawa wamevuka malengo yao kwani turn over ilikuwa $1.3 billion na walivuka malengo ya abiria na mizigo poa.
walichokifanya na kuitupilia mbali ile vision 2010 na wakaja na vision 2025 ambayo msisitizo ni kuwa na ndege za kisasa zaidi kama vile 787 na A350 na kwa akili ya hawa wahabesh ni kuwa na ndege 120 ambazo zitaenda nchi 90 na pia watakuwa na ndege 20 ambazo zitakuwa na safari za ndani ya ethiopia na rurn over yao wanayotaka ni $10 billion.
Siri yao ni ndogo sana wao wana short/medium na long term plans
sasa swali kwa magufuli, mbona hatujaona strategic vision na plan za kui reform ATC kabla ya kununua hizo ndege?
Pili mbona unatuambia within 2 months mnanunua ndege bila kufuata taratibu za manunuzi(procument plan) ambayo wewe unataka utawala wako wa sheri ufuate? Tenda ilitangazwa lini? na nani? wapi? criteria ya kununua hizo ndege ziko wapi? shortlisting ilifanywa lini? na kwa nini hao jamaa wamekuwa awarded? I think we deserve more than just speeches na gimmicks. Niko radhi tutakaa bila national airlines kwa miaka 3 lakini tujipange na tuwekane sawa badala ya hizi rush rush zisizo na kichwa wala miguu
Kingine ninachojiuliza je watu wako wa wizara na ATC wame address vipi issue ya affordability and sustainability??? Je ATC ni creditworthy? wana mipango gani ya ku fund growth yao? au ndio kila kukicha itakuwa ni kupeleka bakuli serikalini kuomba omba wawe bailed?
Mheshimira rais, naomba uelewe kuwa ili ATC iweze kufika huko unakotaka iende kwa akina Air Rwana na Ethiopian Airlines lazima wawe na maintenance of global standards at the lowest possible costs sasa je hilo ATC wamejipangaje nalo? na utake usitake lazima operating model yao ibadilike (kama ipo).
Na hii inanifanya nisema ambalo wengi huwa hawapendi niliseme. Tanzania hatuna COMPREHENSIVE infrastructure plan ambayo iko fit for 21st Century. Mpaka leo sielewi kwa nini airport isingejengwa Kisarawe au Mkuranga kwa kuangalia miaka 50 ijayo. As a matter of fact tungeweza kuwa na plan ya kuwa na airport ya kisasa kabisa ambayo ingeweka kuwa na runway 5 na kama tungeacha kuongopeana tungefanya hilo Dodoma kama si Kisarawe. Pia hakuna ubaya kukawa na airports za mikoa ambazo zikawekwa kuwa na uwezo wa kupanuliwa zaidi kwani ardhi ipo japo kwa sasa we can do with what we have.
Serikali ya magufuli pia lazima iwe na long term view na pia vile vile lazima i address the question about whether it sees ATC kama strategic asset au simply a mere business na bila hivyo ni ngumu kujua role yake ndani ya hilo shirika. Kwa sababu INCOMPETENCY is our middle name sitegemei hata akija malaika tunaweza kubadilika kwa mfumo mzima umeoza sasa sijajua Uncle Magu kajiandaa vipi kukabiliana hili na hasa kwenye management. Sasa ni wakati mzuri sana tukawekana sawa kwenye hili na tukaambiana on hili la Ndege why Rwanda and not Ethiopia?
RELI:
Sihitaji kusema mengi sana kuhusu hili lakini bila plan, strategy na detailed info on how much the govt intends to source pesa za kufinance hizi projects itabidi tukalale tuuu.
Nchi ina watu milioni almost 55. tumezungukwa na watu almost milioni 200 na bado hatuna high speed rail japo tuna gesi, hatuna plan ya kulink mikoa yote kwa reli na mbaya zaidi hatujali
Tazara imetushinda, Reli ya kati imetushinda, reli ya kwenda kusini tuliiingoa, na bado tunataka kuonekana serious