Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

Kuhusu National Ranching Company ltd NARCO

Dwellerman

Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
20
Reaction score
5
Mambo VIP ndugu zanguni? Kwa yeyote aliyewahi Fanya usaili wa Narco hawa jamaa huwa inachukua muda gani Ku shortlist maana tangu watoe tangazo lao la kazi now almost Two months ni kimya tu.
 
Kwenye lile tangazo lao kuna sehemu walidokeza kuwa wanaojitolea watapewa kipaumbele kwahiyo ndugu usishangae sana kama hutasikia chochote tena kutoka kwao.
 
[QUOTE="Prince Kunta, post: 32904889, membe
Mkuu upo kazini tayari?
[/QUOTE]
Kwanini umeuliza hivo mkuu
 
Back
Top Bottom