KUHUSU NAFASI ZA JWTZ

aziza kimambi

New Member
Dec 10, 2018
2
0
Jamani nilikua naomba kuuliza! Je? kuwezekano wakatumia njia ya mchujo kwa kuwapa mitihani wale watu waliosoma kozi Moja? Na kingine nahitaji kufahamu kama wanataka MTU mwenye certificate je Mimi mwenye diploma naweza kuomba pia??na interview zao wanaangalia nini haswa,Kwa anaefahamu jamani please tuelekezane
 
Wanahitaji kuanzia certificate hadi juu hivyo omba kulingana na ngazi ya elimu uliyo nayo usijishushe... Kama ni BAHATI yako utapata usiogope mitihani.
 
*BREAKING NEWS: JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA(JWTZ) LIMETANGAZA NAFASI ZA KUANDIKISHWA KWA AJILI YA MAFUNZO NA NAFASI ZA AJIRA 2018*

*JWTZ-WAMETANGAZA NAFASI ZA ZA MAFUNZO NA AJIRA KWA WANANCHI WENYE FANI MBALI MBALI*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

📍 *Utapewa MAFUNZO na AJIRA*

Vigezo:
• Elimu -Certificate/Diploma/Degree+
• Umri kuanzia miaka 18
• Uwe na Vyeti Vyote vya Elimu
• Raia Mtanzania na vigezo vingine

*Wanahitajika*:

♻ Madaktari, Doctor of Medicine
♻ Madaktari Bingwa(Specialists)
♻ Wakemia (Chemists)
♻ Laboratory Technicians
♻ Clinical Officers
♻ Assistant Clinical Officers
♻ Medical Records,Certificate
♻ Nurses wanahitajika
♻ Biomedical Engineers
♻ Clinical Assistants
♻ Laboratory Assistants
♻ Pharmacists
♻ Physiotherapists
♻ Assistant Nursing officers

*Deadline: December 17,2018*

*Bonyeza Link-Kufahamu utaratibu wa kutuma maombi yako*
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Job Vacancies and Training Opportunities at The Tanzania People’s Defence Force (TPDF) ,JWTZ — University Magazine
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*⚠Warning🚫 : Usitoe Pesa au Kufanya malipo yoyote Kwa ajili ya Kupata Ajira*


*SAIDIA KUSHEA FURSA HIZI ,ZIWEZE KUWAFIKIA WATU WOTE WANAOTAFUTA NAFASI ZA AJIRA TANZANIA* 🤝🙏🇹🇿
 
Wewe omba kwanza position unayoona unafit then hayo mengine utayakuta ukifika huko, seems unaogopa mtihani eeh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom