Hii kitu ni kweli maana hata mimi natumia huku arusha tatizo ni kwenye modem haisomi sijui shida ni nn hata ukiweka kwenye simu ya bb tatizo ni hilo ila kwa simu za samsung galaxy inapiga kazi poa
Baada ya kukumbwa na majanga mfululizo kwa kweli sasa imekuwa ni balaa tupu, internet imekuwa ya kuunga unga sasa leo nikiwa katikati ya mitaa ya mwanza mjini nimekutana na vijana wamevaa tisheti wanapromote huu mtandao basi nikanunua ili nijiunge maana walisema wanatoa unlimited internet....
nimefika ghetto nimeweka line kwa kweli iko na spidi ya kuridhisha atleast kwa kuanzia sina malalamiko, ila kwa wenyeji wa huu mtandao tupeni tathmini yenu hasa amabo mko dar vipi huu mtandao unapiga kazi ama tuendelee kusubiri
njunwa wamavoko jamaa nilipomdadisi akaniambia wame nunu liwa na agakhan group na wameanza kusambaa mikoani. mwanza wanaanza officially tarehe 17 march. Ngoja niendelee kuwatumia nione kama wana unafuu ama wazinguaji nitupe kule...
Kama nilivyotembelea tena Web yao basi huu mtandao kwa internet ni kimbilio la watu
Unapta unlimited/month kwa 20,000/- ?
BOL Mobile
1000/- unapata Unlimited au kuna mambo ya speed cap baada ya 100MB za kudownload?
Kama bundle zao ni Unlimited kweli basi jamaa wako cheap na kwa hiyo speed ya 3Mbps sio mbaya sana...
Ngoja nifagie ufunguni nitafute line yangu fasta maana nimewaelewa/wapenda kwa style fulani hivi kama wamepata 3G
Naenda mjini nanunua vocha ya buku kisha nijiunge na kifurushi nione kama wanapiga unlimited km wanavyosema
Hapa arusha ofisi zao ziko maeneo gani?
@C6
Last time nilivyoongea nao hawa watu waliniambia internet yao ni kwa ajili ya simu peke yake. To me kama haifanyi kazi kwenye universal modem basi its a disadvantage
au inafanya kwenye modem pia
Ngoja nitafute join air connection nijaribu nione itakuwajepicha aliyoweka ni modem ya huawei. so, jibu ni ndiyo.
Hao wadude niliwajaribu mwezi uliopita iligoma kabisa kusoma 3G hadi niliposet dashboard ndiyo ikasoma yaani kitu ni Edge labda wawe wameupgrade net siku za karibuni
Mikoani vp,hawajafika?
Mwanza na arusha si ni mikoani mkuu au sijui mikoani ni wapi?