Kuuliza sio ujinga. Hivi line zao zitatumika kupiga simu??
ni line kama za kawaida ila zinafanya kazi kwenye baadhi ya smartphone sio Tecno; kwahio kama una smartphone jaribu
Bi Mkubwa... ndiyo ni line ya simu kama zingine.. nakumbuka waliingia sokoni kitambo maeneno ya Arusha..Dar biashara ilikuwa ngumu sana miaka ya 2010
sasa huku Ikungulyabashashi nitapata line zao wapi?? nitumie basi line zao!
mi nataka kujua kwa wiki na mwezi bando zao ni bei gani na ni kubwa kiasi gani
inafika 2megapixel
sasa huku Ikungulyabashashi nitapata line zao wapi?? nitumie basi line zao!
Nikiona unlimited tu, moyo unaenda resi. Wekeni hata hyo 4G basi. Voda kwaheri na wajanja night yenu.
Umesoma contents za muanzisha mada?
Mbona kaweka link uone bundle zao
Inafika 2megapixel
Zinakuja ndo wanazindua mkoa kwa mkoa..naona wako Dar kwa sasa!! utafikiwa mama wa Mwanza