Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?
Hivo vyuo vipo kibiashara so kurudisha pesa mkononi Ni uongo ,wataiingiza hiyo pesa kwenye matumizi mengine ambayo mwanafunzi anatakiwa alipie .
Ila mbona kawahi kulipa hiyo ada wakati alikua anajua Kuwa kuna second batch?
Sasa kapewa mkopo wa nn wakati inaonekana anaweza kujilipia ada,Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?
Mkuu iyo ada inarudi, lakini si kwa sasa. Atarudishiwa baada ya kusaini ada ya semester ya pili ambapo kutaonekana na excess amount. Atatakiwa kwenda kwa muhasibu wa chuo na kupewa utaratibu wa kurudishiwa pesa yake au wafanyie reallocation kwa mwaka unaofata. Ila reallocation au refund ya pesa kwa sasa haiwezekani.Dogo kapata mkopo 100% akiwa tayari amelipa ada nusu. Je, atarudishiwa hiyo pesa au itakuwaje?