Kuhusu mitihani ya Certified Professional Banker

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
368
425
Ndugu Wana Jukwaa,

Mimi ni mfanyakazi wa benki moja hapa nchini., nataka kufanya hii mitihani ya Tanzania Institute of Bankers ili nipate cheti cha Certified Professional Banker "CPB" kwa ambaye amewahi kufanya hii mitihani anipe uzoefu wake kidogo kuhusu changamoto zake na upatikanaji wa material. Degree nilisoma ya Accounting and Finance pia nina Masters ya Business Administration.

Kwa mwenye uelewa kuhusu hiyo mitihani nahitaji msaada wenu. Nataka kuifanya November mwaka huu.
 
Back
Top Bottom