kuhusu mikopo elimu ya juu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuhusu mikopo elimu ya juu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Babu mchumi, Sep 30, 2012.

 1. B

  Babu mchumi Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  habari zenu the great thinkers!!
  naomba niulize kwa anayefahamu,majibu ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea(continuous) yatatoka lini,au ndo hakuna tena?kwa sababu yametolewa majibu ya first year pekee
  kama walijua hakuna pesa ya continuous kwa nini wasingewakataza wasiombe??hii si ni kama kuwaibia tuu??
  kwa anayefahamu naomba anijulishe hili!!
  nawasilisha!!
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  mm naona yatatok tu, wameanza kuyatoa ya first year kwasababu wao wanawahi kuripot vyuoni, ucwe na hofu jarbu kuvuta subira
   
Loading...