Kuhusu mfumuko wa bei

Kyodowe

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,242
Reaction score
1,378
Umuofia kweni.

Hivi sukari, diesel na cement ikipanda bei ndiyo zinazoashiria mfumuko wa bei?

Huku mtaani bidhaa nyingi zinapanda bei kimya kimya lakini naona maisha yanasonga kama kawaida. Huko kwenu kumekaaje wadau.
 
Bundle za simu zinapanda bei. Jamaa wanapunguza kiwango cha matumizi kwa bei ile ile ili ujiongeze ununue bundle ya bei zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…