Kuhusu mfumo wa udahili mwaka huu

Kuhusu mfumo wa udahili mwaka huu

Sasa kwa usumbufu huu sioni haja ya TCU kuendelea na mfumo huu ingawa ni ushauri Wa Rais lakini siyo kila kitu anachokisema Rais kiko perfect 100%
Hili ndo tatizo la mtu kuamua na kutoa maelekezo bila kushauriana na wataalamu. Labda tuta anza kuelewa baada ya kubisha sana. Round ya kwanza 33000 wametemwa.
 
Back
Top Bottom