Kuhusu mechi ya Chelsea vs Ajax

Manyuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaacha 2 kuishabikia???
 
Comeback ya kitoto kabisa hiyo,ushaisahau come back ya Liverpool vs barcelona last season?
Sasa ile come back kumbuka ili mechi nzimaaa na hii kumbuka 1st half matokeo yalisomeka ngpi
 
Asantee huyo shbiki wa manyu kaelewaa
 
Wachambuzi wengi wa michezo ni zero kabisa. Kabla sijasoma mengi nimekutana na neno "kuusu" na neno balani. Nikamdharau mleta mada na sikuendelea kusoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vp umeelewa lakin
 
Zaburi 23

Kajifunze kiswahili kwanza,
Hichi na
Balan,
Mnaambiwa msivute bangi zina madhara lakini hamuelewi, hapo umechambua soka au umeandika mipasho?
 
Umeandika kishabiki sana kujifariji na timu yenu mbovu hiyo, magoli mawili wachezaji wenu wanajifunga wenyewe penati mmekosa bahati imewabeba .
 
Mimi sijawahi kuishabikia Man u.Mimi najulikana wazi timu niishabikiayo.
 
Ajax wameifunga Chelsea yenye wachezaji 11 na kocha wao akiwa anaangalia mchezo ila Chelsea wamerudisha magoli kwa Ajax yenye wachezaji 9,tatizo refa alibeti ila Chelsea alikuwa anakufa mkono
 
Chelsea wameifunga team ya watu nane.. 😂😂
halafu wanajigamba.. tena ilibidi washinde kabisaa.
Kama Ajax wangebaki vile vile 11 Chelsea wangekuwa wanalia sasa hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…