Lete mkataba unaosema watakupa 13%Tulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu. Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari, 2025 nikitarajia kuwa baada ya miezi mitatu nitawekewa gawio langu la 13%. Mpaka leo sijawekewa gawio langu na tayari imepita miezi mitatu. Ninaiomba CRDB itujibu na kama haiwezekani basi wanirudishie fedha zangu nizielekeze mahali panapoweza kuzalisha faida zaidi kama biashara. Hii ni taarifa ya mwisho baada ya hapa natarajia kuwachukulia hatua CRDB.
Kwahiyo uweke milioni 10 halafu wakupe 1.3million. Ambayo hawakupi kwa mkupuo, wanakupa kidogo kidogoAsilimia 13 ni faida ya mwaka na sio miezi 3.
nenda bank Moja kwa Moja, uta pata maelekezo.Kuna 100M yangu nimeweka humu january naona hawajalipa gawio 3M April kuna aliyefanikiwa kutoa hela humu.
Shukrani mkuu, usalama serikalini ni mkubwa kuhusu faida ndio kipengele...nenda bank Moja kwa Moja, uta pata maelekezo.
halafu why u risk kuwekeza kwenye mfuko ulio pewa hype ya ghafla, ikiwa Kuna sehemu nyingine zilizo salama.
"Uvumilivu kula mbivu" misemo tu hiiUvumilivu
hata hapo Kenya Kuna mifuko mizuri Sana, na iko public+ kufanya vizuri.Sh
Shukrani mkuu, usalama serikalini ni mkubwa kuhusu faida ndio kipengele...
Samia bond ni sehemu ya kufichia pesa walizo iba, mki wauliza wata kwambia ni uwekezaji wa watuSAMIA BOND NI project ya kupeleka pesa azidi kusifiwa kila tamasha na chawa wake.
Hakuna riba za 13% kwa miezi mitatu nchi hii.Tulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu. Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari, 2025 nikitarajia kuwa baada ya miezi mitatu nitawekewa gawio langu la 13%. Mpaka leo sijawekewa gawio langu na tayari imepita miezi mitatu. Ninaiomba CRDB itujibu na kama haiwezekani basi wanirudishie fedha zangu nizielekeze mahali panapoweza kuzalisha faida zaidi kama biashara. Hii ni taarifa ya mwisho baada ya hapa natarajia kuwachukulia hatua CRDB.
Sikuwa na taarifa mkuu ngoja nifatilie niliweka mbele uzalendo.hata hapo Kenya Kuna mifuko mizuri Sana, na iko public+ kufanya vizuri.
Hii Samia bond ni sawa na binti aliye jipaka make-up, siku aki nawa uso hamna kitu.