Kuhusu Mama...Hii imekaaje?

Wewe unataka kusafirishiwa bure kwa kuwa tu ni mama yako?!!! Hata kama ni mama yako mzazi kama una shughuli zako za kukuingizia kipato, mrudishie mkwanja wake. Watu wengine bwana, umeambiwa akiwa mama yako ndio uwe kupe??!!!
 
Halafu eti anajiita Father. Hizi ni tabia za kifather kweli??!!!! Mimi amenishangaza sana kwa kweli. Huyu ndio wale ambao anaenda kukaa kwa mtu bila mpango eti kwa kuwa tu ni ndugu yake.
 
..Halafu unajiita " a father" yaani we unadhani mama ana jukumu la kukufanyia we kila kitu bure bure tuu.. We mwanaume wa aina gani? Unatutia aibu! Mwanaume majukumu kaka sio unakuja kulia hapa jf eti mama anakudai hela ya kukutumia vitu vyako. Khaa!
Huyu jamaa kaniudhi sana. Labda tumuulize umri wake, ukute ni kavulana ka miaka 14.
 
Mambo mrembo!
 
Vipi mkuu, una umri wa miaka mingapi?
 

Kama hela ya kusafiriaha miZigo yake tu analalamika, hela ya matumizi mama yake ndo aisahau hakuna dalili za mtoa mada kumtumia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kijana unapenda kulelewa wewe lo!!!,mara ya mwusho kumtumia hela mamako lini, inaonesha mama amekuchoka kwa ubahili wako!!badilika
 
Tuma hela ndugu, hata kama anakazi na sio mama mzazi mbona kakuhudumia mpaka hapo ulipo.
Ye pia anaweza kuwa na mahitaji zaidi yako
 
Mama yangu mzazi ukimuomba akutumie kitu pesa yake unalipa,ila akiamua mwenyewe hiyo ni kama zawadi...pesa haina cha mama mzazi wala baba mzazi atii
 
Mama hakutakiwa kabisa kukuomba gharama ila wewe ulitakiwa umtumie hadi ya usumbufu
 
Tatizo unapenda vya bure,,,, siku nyingine tumia kampuni ikusafirishie hivo vitu kusumbua tu mama yako na kutoa hela bahili.
 
Mama wa kambo tuna kazi...! Hata umpe roho yako haitatosha! Mwe....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…