Kuhusu Makalio...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?
 
What the freak Boflo? Are you out of your damn mind or something?
 
We ni me au ke ??
kama wewe ni ke siku moja jaribu japo kumpapasa me wako afu ujionee mziki wzke
 
Fanya test we mwenyewe then ulete majibu hapa hapa yachambuliwe!
 
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?

Hakuna tatizo lolote kwa mke kukuchezea makalio ni sehemu ya raha na ladha za kimapenzi
 
Kwangu mie naweza sema ni sawa uniulize..'unajisikiaje unapochomwa na mwiba mguuni'?
By the way habari ya mtu kujisikiaje anapoguswa pahala nadhani ni 'subjective'..inategemea sana hapa!
I guess sio wanawake wote pia wanajisikia poa wakiguswa makalio....
 
Maumbile ya ke,na me ni tofauti!hivyo anachofanyiwa mwanamke akafurahi, sicho anachofanyiwa mwanaume akafurahi, labda hilo swali wanaweza kujibu MASHOGA kama wamo humu!
 
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?

kama wake hakuna shida ingawa sijaelewa we umelenga mwanamke yupiu na mwanaume yupi
 
Boflooooo
wanaume wengi wamechezewa makalio na mama zao wakiwa waduchu
 
Boflo u made ma evening!Dah nimecheka sana!
 
Last edited by a moderator:
What goes around better get stuck on its way back...Astakhafirullah!!
 
Boflo u made ma evening!Dah nimecheka sana!
 
Last edited by a moderator:
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa hilo tendo?

Boflo, you're male, right???

Oh no Boflo.....dont!!
 
Hahahahahahahahahaha
boflo usitegemee majibu unayo yahitaji kutoka kwa watuhumiwa!

Onesha msimo wako kwanza!
 
hivi Boflo ndo haya ulikuwa unasoma darasani siku zote hizi haupo humu!?
maswali gani haya?
sa unataka useme ni raha kwa mwanaume kushika kalio!uuuuwih!mi unanipa shida wewe mtu ahahhahahhahhahahhahah haya bana!ngoja nimwite watu8 ,e bana mtani eeeeh umemsikia swahiba wetu my dear wangu mi ananishangaza ujue!ah!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe ni boflo wa jina tu au hata kivitendo ni boflo kweli? Maswali gani ya kihu ni haya unauliza mkuu?
 
pole boflo, hafu ndo umewaachia wenzio waseme we husemi mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…