Kuhusu mabango

Kuhusu mabango

janjamasai

Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Naombeni kuuliza mfano CCM wakiwa kwenye kampeni na mtu akabeba bango la kuwakashifu itakuwaje nimevunja sheria au.
 
Usisema kuwakashifu.Selma Ukiongea Ukweli Wa Maisha ya Watz tulivyopigika.
 
hujakashifu! hujavunja sheria! sheria haisemi lazima mkubaliane!
 
Back
Top Bottom