Kuhusu kuzima simu usiku wa saa 6 hadi 9 leo!

Kuhusu kuzima simu usiku wa saa 6 hadi 9 leo!

trachomatis

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
3,758
Reaction score
746
Je suala hili lina ukweli? Mi nimeafuta sijaona. Ni sms tu nimetumiwa. Mwenye ufahamu atujuze. Eti kuna mionzi mara sayari ya Mars sijui kuna vitu gani hivyo inabidi tuzime cellular zetu!
 
Utakuwa uzushi tu. Mods,you may close the thread.
 
TAHADHARI, Leo usiku saa 6:30 to 9:30 miale ya 'cosmo' itaingia duniani kutoka sayari ya Mars. Hivyo , zima simu yako usiku na iweke mbali nawe, usilale nayo kwa sababu ni miale hatari. Chanzo cha habari ni
BBC NEWS.
Tafadhali wape taarifa hii wengine.
 
Ni mionzi hatari kuliko TISS. Jitahidi uweke simu ndani ya beseni na jaza maji inasaidia kupunguza mionzi
 
Hivi hii kitu bado inaendelea, hiyo ni habari ya UONGO hata mwaka juzi hiyo meseji ili zunguka sana.
Hivyo achana nayo wala usiizingatie.
 
kuna biashara ya sms inaendelea.aidha wamiliki wa mitandao ndowanatengeneza au kuna watu maalumu wa kubunisms ili kutuma kwa wateja.jiulize sms moja sh ngapi.kama wakifanikiwa kuizungusha sms moja tu kwa wateja wao let say m 12 wanakuwa wametengeneza sh ngapi je robo tu ya hao wakatuma sms hiyo hiyo mara tatu tu kwa ck.yawezekana c kweli najaribu kufikilia kwa sauti.
 
Back
Top Bottom