Upewe Taifa Stars uwe unawafundisha akina ManulaKwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.
Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.
Pia, huyu jamaa alifuta penati ndani ya mchezo wa fainali ya Super League baina Al Alhly na Mamelod Sundowns.
Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.
Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.
Dah! Ni kweli, nimechanganya mafaili.Akili yangu hii butu inanidanganya kwamba eti ahly hakufika final ya super league?
Sijui jamaa anatumia mbinu gani! Kwa sababu anaruka mpira unapoelekea.Nadhani kuna namna anatumia kuggundua mpigaji atapiga wapi. Ule umbali ni mfupi ssana kwa golikipa kusevu penati just kwa kufuata muelekeo wa mpira unless mpigaji awe amepiga kwa nguvu ndogo.
Waende wakajifunze kwa Ronwen Williams baada ya ligi, sidhani kama atawanyima mbinu!Upewe Taifa Stars uwe unawafundisha akina Manula
Kuna video inasambaa Williams anaongea na video analyst mmoja benchi la ufundi la Bafana Bafana kabla ya mechi.Kwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.
Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.
Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.
Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.
Kuna mtangazaji wa DSTV alikuwa anasema jamaa anasubiri mpira upigwe kwanza halafu ndo anaufuata,nikarudia video ni kweli,mpira unapigwa yeye ndo anaruka.....lakini kipa akihojiwa alisema match analyst wao alimwambia majina ya wachezaji kwamba hawa wanne watapiga kulia na mmoja kushotoNadhani kuna namna anatumia kuggundua mpigaji atapiga wapi. Ule umbali ni mfupi ssana kwa golikipa kusevu penati just kwa kufuata muelekeo wa mpira unless mpigaji awe amepiga kwa nguvu ndogo.
Kuna kipindi kipa wa Cape Verde kashika kama kitaulo hivi kachuchuma kama anasali, wanasema alikuwa anasoma list ya wapigaji wa south africa ila ndo hivo alifeliKuna video inasambaa Williams anaongea na video analyst mmoja benchi la ufundi la Bafana Bafana kabla ya mechi.
Anamwambia kwahiyo penati nne zote zitapigwa upande mmoja na moja itapigwa tofauti so kipa anataka kujua atakae ipiga hiyo ya tofauti ni mchezaji gani wa Cape Verde.
Ukiweza kuitumia vizuri teknolojia unakuwa mbele ya wakati. South walishawasoma Cape Verde namna wanavyopiga penati na wakafanyia kazi
Bwana Vuzinya, lakini aliokoa na mwili nyumba ulisaidia mpigaji mmoka kupaisha.Kuna kipindi kipa wa Cape Verde kashika kama kitaulo hivi kachuchuma kama anasali, wanasema alikuwa anasoma list ya wapigaji wa south africa ila ndo hivo alifeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine ni kipaji alichozaliwa nacho .Kwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.
Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.
Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.
Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.
Kaseja pia alikuwa anatumia hii akili, hatoki hadi upige mpira, na hapo kinachobaki ni speed ya kipa kuufuata mpiraKwa nilichokiona jana katika mechi ya South Africa na Cape Verde, ili kipa aokoe penati ni lazima auone kabisa mpira unaenda wapi lakini awe mwepesi kuruka, la sivyo hataupata mpira. Wale makipa wanaotegemea kuokoa penati kwa kuhisi mpigaji atapiga wapi, ndio hao ambao wanaruka huku, mpira unaenda kule.
Kwa jana, Golikipa wa South Africa, Ronwen Williams alikuwa anaokoa penati siyo tu kwa kujirusha kwa kuhisi, bali alikuwa anaruka kwa kufuata mwelekeo wa mpira. Maana yake alikuwa anauona kabisa mpira unapoelekea. Hata penati moja iliyoingia aliifuata ila alichelewa kuifikia.
Jana ndiyo nimegundua jamaa habahatishi bali ana uwezo.
Magolikipa hebu jifunzeni kwa Ronwen Williams, ikiwezekana mwende hata kujifunza awape mbinu za mafanikio.
Mchezaji akilenga kwenye karibu na nguzo ya goli eg sentimita mbili kutoka kwenye nguzo kwa ndani na shuti likiwa kali, kipa haokoi hata kama atajua upande unaopiga. Kusema hivi sikatai kuwa kipa wa South Africa alikuwa mzuri kwenye kuokoa, bali na wale wapigaji wa Cape Verde nao walipiga karibu mno na kipa.Nadhani kuna namna anatumia kuggundua mpigaji atapiga wapi. Ule umbali ni mfupi ssana kwa golikipa kusevu penati just kwa kufuata muelekeo wa mpira unless mpigaji awe amepiga kwa nguvu ndogo.