Official Ric
Member
- Jun 20, 2024
- 56
- 96
NDOA NI UTAPELIWAZO LAKO NI LIPI KUHUSU NDOA
Hiyo Faida ya pili Umepigaje hapo?😥😥Afu pia kuna Faida za kuoa mwanamke Bikra kama
1. Wewe ndo unakuwa Mwanaume wake wa kwanza.
2.anakuwa ana body count kubwa hivyo habari za kukamian kama nini hizo hazipo na faida nyingine nyingi
"Shabu", kidogo Mchizi wa Nako 2 Nako apigwe kwa Demu miuno maarufu la kale...😊Bikra zinauzwa siku hizi.
Kuna muha alioa demu wa kitanga na kuaminishwa ni bikra. Baada ya miezi 6 ya ndoa anakuja gundua demu ana watoto wawili tayari japo siku ya kwanza kulalana alikata seal mwenyewe.
Ukipata demu mnaoendana na kuhisi mnapendana wewe oa tu. Usitakie kujua aliyofanya au aliofanya nao kabla yako wewe.
Upo sahihi chiefUshauri wangu sikuzote oa mwanamke aliye bikra. Wanawake wasio bikra wana trauma nyingi walizopata kutokana na wapenzi wao wa kwanza na kufanya mioyo yao kuwa migumu kama jiwe kama akigoma kuuponyesha moyo wake.
Pili wanawake wasio bikra wameunganishwa na wapenzi wao wa kwanza rohoni kwasababu ya damu. Damu ya ubikra ni agano na hili ndo huwafanya wao kuwafikiria maex wao eidha kwa mazuri au mabaya. Damu ile iliwathibitisha kuwa rasmi wao ni wake na mume kiroho so ilibaki kimwili.
Sasa tangu lini mwanaume akawa bikiraUoe mwanamke bikra. Je, na wewe ni bikra? Wewe yoyote tu hizo bikra utazikuta peponi huko.
PUnguza hasira ndugu., mtoa mada kasema kuna sifa nyinfne nyingi za kuzingatia lakini yeye ame-specialize hapo kwenye bikira ni vyema ungebaki kwenye kipengere kikuu cha mada ambacho ni bikiraKatika ndoa mume ukiweza kuwa kiongozi mzuri asiyeilaza familia yake njaa basi uoe bikiri ama asiye bikira ndoa itosogea...ukiwa mume kilaza hata ukioa bikira atatokea mjanja wa kukuchapia tu...kuhusu uwepo wa mabinti bikira nenda kwenye makambi ya wasabato wamejaa tele.
Hana akili huyo yaan bikra itolewe na mtu mwingine halafu akwambie wewe umemchezeainakera sana kuwa na mwanamke kimapenzi, akizingua ukamuacha anasema nia yako ilikuwa KUMCHEZEA ilhali haukumkuta BIKRA.
Swali zuri sana. Nitakuja kujibu kwa mtazamo wangu baadaye kidogo. Kiufupu tu, kuna uhusuano mkubwa ingawa sio lazima ndoa itadumu.Habari zenu wanajukwaa,
Leo ningependa tuongelee kuhusu hili swala la kuoa wanawake Mabikra katika story zangu nikiwa kijiweni na Marafiki zangu nawambia kwamba nataka kuoa mwanamke ambaaye ni bikra wengi huwa wananipinga na wananiambia swala la mimi kuoa mwanamke bikra ni ngumu haiwezekani hata siku na moja na kwa kudinia ya ss hivi kwa mwanamke bikra kupatikana ni Ngumu labda nioe mwanamke wa miaka 11.
Sasa mimi naona mbona inawezekana kuoa mwanamke Bikra lakini siyo rahisi. Afu pia kuna Faida za kuoa mwanamke Bikra kama.
1. Wewe ndo unakuwa Mwanaume wake wa kwanza.
2. Anakuwa ana body count kubwa hivyo habari za kukamian kama nini hizo hazipo na faida nyingine nyingi
Lakin hili swala la kuoa mwanamke Bikra halimaanishi kuwa atakuwa mke Bora so lazima Tuzingatie na Vigezo vinginevyo vingi kwa ajili ya kutamfuta mke japokuwa Bikra ni moja ya kigezo ambacho wanaume wengi hatuzingatii.
Hivyo mimi ningependa kuwauliza wanajukwaa wazo lako ni lipi kuhusu ndoa na je vipi kuhusu kuoa mwanamke bikra na asiye bikra wewe unatoa ushauri gani.
Je, kuna uhusiano baina ya kudumu kwa ndoa na mwanamke bikra na asiye bikra. Ebu tupe neno lako litakalo nisaidia mm au kijna mwenzangu kwenye kutafut mke wake wa maisha.
Mwanamke huharibiwa na yule anayemtoa bikra, period.inakera sana kuwa na mwanamke kimapenzi, akizingua ukamuacha anasema nia yako ilikuwa KUMCHEZEA ilhali haukumkuta BIKRA.
Harafu unakuta wala hana mpango wa kufanya mke kashamharibu mtoto wa watu,Mwanamke huharibiwa na yule anayemtoa bikra, period.