Kabla ya kukataa kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo ni vyema mtu huyo ajiulize haya
1.Katika jamii hii ya watanzania ni kina nani wanalipa kodi?
2.Ni nini maana ya kiinua mgongo?
3.Ni madhara gani yanayoweza kujitokeza endapo mimi kulingana na position yangu nikitoa matamshi ya kutaka kukataa kulipa kodi?
Mfano sisi wote tunajua kuwa katika taifa hili wafanyakazi wa serikali na hata wa taasisi binafsi wanalipa kodi tena kubwa bila ubishi wowote.swali ni je wafanyakazi hao wanapostafu wanakatwa kodi kwenye kiinua mgongo?na ni kiasi gani wafanyakazi hao wanapata wanapostafu ukilinganisha na mtu huyu anayekataa kulipa kodi kutoka kiinua mgongo chake?mtu kukataa kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo chako huoni kuwa unachochea utengano kati ya walipa kodi?huoni madhara kwa taifa lako na chama chako?
Tuwe tunafanya utafiti kabla ya kutoa matamshi yenye kuleta madhara kwa chama na taifa kwa ujumla