Habari ndugu wanajamiii forum,mm ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nlipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini, na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa barua tangu nimetuma utumishi had Sasa cjajibiwa na kila ukiuliza wanajibu inashughulikiwa, wadau naombeni msaada wenu nifanye kitu gani niweze kupata msaada kwa urahisi