kuhusu king'amuzi mfano startimes

kuhusu king'amuzi mfano startimes

ivi naeza tumiaa king'muz icho bila kulipia....msaada jaman

Kwa startimes kuna local chanel kama ITV,TBC1,TV1,STAR TV,CHANEL 5 CLOUDS TV..hizo ni free tu ila kuna packages ambazo ukitaka unaweza kulipia ili uone chanel nyingi zaidi..ni hayo tu..
 
Back
Top Bottom