Kuhusu Kijiko !

Kuhusu Kijiko !

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Habarini !
Mishemishe za Jeimosi zikoje?

Maudhui yangu hapa ni Kijiko , Uma , with related matter .

Normally we use Stainless steel , Flatware , Forks also Knives for eatin while at our home , Hotel etcetera !

Ni ukweli usiopingika kwamba Kijiko kitumikapo for some years hua kinakua rusted ama kinapungua.

Naamini wewe Mdaumweza usomae hapa umeshakutana na Kijiko kilicholika kiasi flani kule nchani mwake.

Je ?
Hiyo material inayopungua huenda wapi ?
Kama si tumboni mwa user !
Ni wapi sasa?

Nijuavyo mie all metals e.g
Copper , Aluminium, Stainsteel , Iron cast are harmfully !
Always metals can be toxic !
Metals will react with acidic ingredients that will make person ill.

Mnipatie uelewa kama kijiko niendelee kutumia ama nikipe Talaka. Leo hapachwei mpaka mniambie when kijiko been rusted , particles zake zinakwenda wapi !
 
aah umenikumbusha boarding skul nilikuwa na kijiko changu kimelika upande,sio darasani ninacho mfukoni,sio uwanjani kushangilia mechi ninacho popote nilikuwa nikienda mi nakijiko changu...nakumbuka mpaka home nilirudi nacho,hadi leo kipo.na home nikienda kusalimia lazima nikikute.
 
Mhe , B'REAL katika siku umefanikiwa kun'chekesha ni leo.
 
Last edited by a moderator:
Daaah
lazima hicho chuma kinaenda tumboni japo kinaenda kidogo kidogo
na ndo maana kansa zinatumaliza;

Kwanini usiseme pia kuhusu sufuria au kwa kuwa hayo ni mambo ya idara ya mambo ya ndani

Kwanini usiseme pia kuhusu mashine za kukamua mafuta ya alizeti ambapo vile vyuma vinaisha
na kubadili kuweka vyuma vingine;

Kwanini usiseme kuhusu birika la kuchemsha maji hapo ofisini ambapo kutu inaanza kidogo kidogo ikiingia kwenye
maji tuyayotumia kwa chai; mwisho wa siku tunapata kansa tunabaki kuulizana imetokana na nini.

...............samahani nimesema sana as nilikuwa natafuta mahali pa kuyasemea haya............
 
Kwa taarifa yako/yenu Mamndenyi hizi sufuria (metal pots) hizo ndiyo ziko soo hazard! Coz zinawekwa motoni daily! Chakula chochote kipikiwacho ndanimwe kina effects!
Btw wataalamu wa afya mara chungu tele wanatanabaisha hilo.
Na sie kupikia vyunguni tutaona uncivilised !
 
Last edited by a moderator:
Tupe solution basi mtoa mada??labda tungekula majani kama mifugo. By the way unataka kuishi milele???? kuna uzee pia, lazima tu utazimika, vp ajali????
 
Tupe solution basi mtoa mada??labda tungekula majani kama mifugo. By the way unataka kuishi milele???? kuna uzee pia, lazima tu utazimika, vp ajali????

Swali lako mkubwa ni dhahiri hujaelewa mada lengwa!
Rudia kusoma Sredi!
Hatuzungumzi chakula hapa! Tunazungumzia kitchenwere! (vifaa vya kulia chakula)
 
Turudi kwa zamani, chungu, upawa wa kifuu, na vijiko vya mbao. Naona kheri Tule udongo na mbao kulikono chuma. Na kula kwa mkono pia inahuu, mana ukisha osha mkono wako una uhakika hata wa usafi. Au vp Judgement?
Cc: Mamdenyi.
 
unatoa wap hivyo vijiko vya mbao ktk ulimwengu huu? Bora udongo! Kwa ujumla binadamu tumezungukwa na hatari tupu ukichunguza sana utatamani ujifungie tu ndani ki2 ambacho hakiwezekani!
 
welcome to my world...chopsticks ndio vyangu vijiko...thanks to chinese!
 
Turudi kwa zamani, chungu, upawa wa kifuu, na vijiko vya mbao. Naona kheri Tule udongo na mbao kulikono chuma. Na kula kwa mkono pia inahuu, mana ukisha osha mkono wako una uhakika hata wa usafi. Au vp Judgement?
Cc: Mamdenyi.

Naunga mkono hoja
 
unatoa wap hivyo vijiko vya mbao ktk ulimwengu huu? Bora udongo! Kwa ujumla binadamu tumezungukwa na hatari tupu ukichunguza sana utatamani ujifungie tu ndani ki2 ambacho hakiwezekani!

Nakwambia, 'kilin me softly' ndo imetuzunguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom