Ticha
Senior Member
- Aug 26, 2007
- 135
- 8
.Hotuba imeeleweka cha muhimu ni kimoja tu kwetu wagonjwa,tunaomba mludi kazini.
.Kama mshahara mdogo omba utoke,utafute utakakopata mshahara huo,mkuu amewaruhusu.haina haja ya kupiga kelele ondoka hapo nenda unapoona panafaa.
.Kama ni hilo hata hao wanaharakati mnashiriki kuwaumiza watanzania walioko mahosipitarini kisa 3m za mshahara kweli unawezekana mshahara huo.