Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,796
- 6,291
Wakuu juzi Kati nimetizama Video song moja kali Sana ya Latin America, sikumbuki Wasanii walioimba, ila Waliimba Wasanii 3 wa kiume, Video yake imeshirikisha watu wengi Sana mtaani, Na mwishoni unaonekana msululu wa Magari yakitembea then Video inafika mwisho!
Ilikua ghafla naicheki hiyo Video E-Tv Ni nyimbo kali Sana sijui imetoka mwaka gani ila nahisi Ni mwaka huu au mwishoni mwaka Jana.
Kuna mtu ashawahi kuona hit song hii atuwekee hata Video hapa?
Ilikua ghafla naicheki hiyo Video E-Tv Ni nyimbo kali Sana sijui imetoka mwaka gani ila nahisi Ni mwaka huu au mwishoni mwaka Jana.
Kuna mtu ashawahi kuona hit song hii atuwekee hata Video hapa?