dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 874
Hivi ni nani anafaidka na huduma ya google adsense??
na mimi ndo nimeanza kuwa nayo toka week iliyopta kutokana na kunikubalia na nimefksha dolar zaidi ya kumi na wameniambia leo watanitumia pin number ndani ya week 2 mpaka 4,,je kwa yeyote hum ndani yy alipata kwa siku ngap au week ngapi mpaka kufka hapa Tanzania????