K Kobazi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 918 Reaction score 1,399 Nov 20, 2015 #1 salaam... jamani naombeni mnijuze lilikopotelea gazeti letu pendwa la katuni la sani. la enz za kina kipepe,kifimbo cheza na wengine wengi
salaam... jamani naombeni mnijuze lilikopotelea gazeti letu pendwa la katuni la sani. la enz za kina kipepe,kifimbo cheza na wengine wengi
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,321 Reaction score 56,054 Nov 21, 2015 #2 gazeti lipo sema limekuwa kubwa.kila jumamosi na jtano