By dr mose:
Kuna coz za afya?
Vipi wanaruhusu new applications?
Na unaomba machaguo mangapi?
Asante
Wakuu msaada tafadhal,,, au mnisaidie namna ya kupata majibu ya maswal yangu
For the first registration is allowed BT vyuo v izuri si rahisi kupata na vyuo vya afya hakuna na kama utakipata ili wakuchague may be uwe na GP A ya 3.7 and above