Kuhusu familia ya JK kuhamia Dodoma

Kuhusu familia ya JK kuhamia Dodoma

Hao ndi watawala wa dunia walivyo... Wape nafasi yao...

Tena si kwa sababu ni wivu ila kama mleta mada ana uhakika na hiyo idadi na kama hawajutumia hela ya serikali hata kidogo basi nawapongeza. Ila kama P.A.Y.E. zimetumika lazima tulalamike.
 
RizOne will never be my president,I will personally make sure that mistake wont happen in our country.We made a blunder by having his dad as our president and we are paying for it,As if that is not enough and now Riz?Scary thing is,there is so many brain-dead morons in this country who might actually vote for him.Good bye Tanzania,You are heading right down the destruction path.

Tanzania ni kubwa na Tanzania ni Wananchi na hata baba yake alipokuwa anagombea kuna watu walisema wangehama Nchi so kwako hayo wala si mageni na kama anautaka Urais walio wengi wakisema ok wewe nani wa kuzuia na Chuki zako Nyang'au mmoja tu.kakojoe ulale wewe sio msemaji wa wananchi
 
Mkuu Fakii, umesomeka Kaka!

Tuko pamoja kwa saana.

Shukran sana.
 
Mwalusembe naye alikuwepo...ila havintishi sikumuona
Mkuu hapa ni uchache sana
1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu
 
RizOne will never be my president,I will personally make sure that mistake wont happen in our country.We made a blunder by having his dad as our president and we are paying for it,As if that is not enough and now Riz?Scary thing is,there is so many brain-dead morons in this country who might actually vote for him.Good bye Tanzania,You are heading right down the destruction path.

Fuc.k off!!
 
Nyie Wabongo mukidhani usultani ni ule uliokuwepo Zenji tu, sasa ni zamu yenu kutawaliwa na sultani mweusi. 👑
 
Haki yao,hata safari yao ikigharamiwa na serikali au kodi yako bado ni haki yao.Urais wake ni wake na familia yake,tusimwonee wivu.
kaka kwa mazingira ya kibongo hiyo safari hata kama haina perdiem in terms of cash ila gharama zote serikali ndio inagharamia kuanzia usafiri malazi na chakula plus ulinzi,nimegundua watu wa pwani tunapenda sherehe ,kuapishwa tu unajaza fuso,ndio maana tunatumia mabilioni sherehe za muungano usiokuwepo kisheria
 
RizOne will never be my president,I will personally make sure that mistake wont happen in our country.We made a blunder by having his dad as our president and we are paying for it,As if that is not enough and now Riz?Scary thing is,there is so many brain-dead morons in this country who might actually vote for him.Good bye Tanzania,You are heading right down the destruction path.

Wivu m'baya jamani... Sasa wewe unasema utahakikisha riz one hawi rais how? na utahakikisha as who? We kazi yako inaishia kwenye kupiga kura hlf unasubiri matokeo basi. Mbona unajipa pressure za bure mkuu... Huna kazi za kufanya? Sema ukweli usaidiwe.
 
Kwa hiki alichoanzisha mkuu wa nchi ni kama amefungulia njia! Utamzuiaje Pinda naye kuridhisha watoto ubunge, utamzuiaje Sitta, utamzuiaje membe, utamzuiaje Lowasa, utamzuiaje Shein? Hawa wote walikuwa wanachomeka watoto wao kwenye nafasi nyeti kimya kimya km benki kuu, TRA, hazina, mawizarani, lakini sasa wtafanya wazi kwa sababu mwenyekiti wao wa chama ameonesha njia! Subirini muone baada ya Muda kitachotokea katika nchi hii.

Mbona Mimi nimemrithisha mtoto wangu kazi yangu ya useremala lkn watu mpo kimya? Hata anko wangu wa kigoma nae kamrithisha mtoto wake kazi yake ya uvuvi lkn watu wapo kimya? Hlf nilitaka kusahau nina cousin yangu pale bugando Hsptl yeye ni doctor nae kamrithisha mtoto wake u-doctor kwa kumsomesha mpaka kufikia ngazi hiyo lkn watu wapigi kelele...mwisho nina jirani yangu bwana madulu hapa,yeye ni dereva na kamrithisha mwanae udereva lkn watu tupo kimya wala hatulalamiki.. Tatizo ni nini kwenye siasa mtu anapomrithisha mwanae?
 
Mkuu hapa ni uchache sana
1. Mustafa Jakaya 33-Kigoma
2. Mwanaharusi Jakaya-36-Kigoma
3. Isihaka Jakaya-34-Rukwa
4. Halfani Jakaya-31-Bagamoyo
5. Faudhia Jakaya-33-Dodoma
6. Siwema Jakaya-31-Mtwara
7. Faudh Jakaya -3-Iringa kwa Assas
8. Maulid Jakaya-18-Tabora
9. Salama Jakaya-33-Mama alifariki
10. Ridhiwani 36-Mama hajulikani
11. Miraji Kikwete 33- Mama hajulikani
12. Mwanaasha Jakaya- 18- Chalinzr
14. Pili-6-Ikulu
15. Havintishi-5-Ikulu
16. Mwalusembe-4-Ikulu
17. Hafidh 16-Ikulu

Kwa oradha hii ya watoto na umri .Mustafa umri 33
Faudhia umri 33
Salama umri 33
Miraji umri 33
Isihaka umri 34
Ina maan mwaka 1981 huyu Mzazi wa watoto hawa alikuwa na mausiano na wanawake 5 ndani ya mzunguko wa miezi 12 wastani wa mwanamke mmoja kwa miezi 2 .kwa kutumia mtindo wa ngono zembe .tena kipindi cha gonjwa la ukimwi .ni hatari ni bahati tuu .tunae huyu Mzazi akiwa hai mpaka leo .duuh
 
hata uwezo wa kuwalea anao kwa hiyo ni mwanaume wakweli,hatujui wewe wakwako niwangapi ambao hutaki hata kuwaskia pia huko nyuma mamake huenda umemuachia mzigo wa ukimwi..asante
 
Kwangu mie wala hili siyo issue, Dogo sana. 2010 nilitembelea mjengoni waliokuja kushuhudia kupishwa kwa Mary Nagu ilikua zaidi ya wa 100 na vikundi Ngoma, sasa Mtoto wa Rais watu 80 imekuwa nongwa acheni chuki zenu . mie nikipata nafasi hiyo nitahudhulisha hata picha ya marehemu mama yangu iwepo ni mahali adimu sana.
 
Mkuu kibogo hapa kuna kosa Kisheria?
Hapana, siyo kosa la kisheria, ila kuna kosa kubwa la kimaadili na kimantiki. hii inawaaminisha watu kwamba mafanikio ni kuwa katika ukoo fulani, na siyo kuchakarika. hapa hakuna "fursa sawa kwa wote", bali fursa kwa wenye nazo na waliowahi - au ambao baba zao waliwahi. hii ni matokeo ya kile ambacho viongozi walifanya huko nyuma:
1. kujiwekea maslahi mazuri wanapostaafu, wenyewe tu na familia zao.
2. baada ya hapo kilichofuatia, watu wakajibinafsishia nyumba za serikali, wakaona ni zao.
3. kinachofuatia sasa wanabinafsisha mamlaka, kwa kuwaingiza wanafamilia - wake na watoto nk, katika utawala

mambo yataenda yakiongezeka, na katika steji fulani watu watataharuki na kusema ebo! inakuwaje? na kwa watu kama wewe mnaopuuzia vitu kama hivi, inawezekana hulioni kwa sababu ni mmoja wa wanaofaidika, au ni mmoja kati ya wale wasioweza kuona mbali
 
Mwacheni rais wangu mbona mnamsakama xana mkulu.kawakosea nn?
 
Back
Top Bottom