mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,327
- 56,075
Nimesoma huku nikicheka kusikia kuwa kitendo cha Ridhwan kuapishwa kuwa mbunge jana kimeshuhudiwa watu 80 wa na familia na wanaukoo ambao walifunga safari toka pande zote za nchi.
Kweli mwana mfalme ni raha,alafu nikatazama na picha ya first lady pale juu ni kama alikuwa nawaza kuwa kuna siku kijana akaukwaa urais nchi hiii naye akaingia kwenye historia kama ya mama Kenyata ,mama Karume na mama Bush ambao waume zao na watoto zao walikuwa marais.