Akimaliza atakuja yanga kama chamaMkataba ni miakà miwili
Vyovyote tu ila Yuko Simba na hata kuongeza mingine Inawezekana ..hao wanaotaka kuja angalau waje na bilioni 3 kidogo mo atashtuka...tumekataa bilioni 2 za ahoua majuzi tu..kalagabaho.Mkataba ni miakà miwili
Kwaio mafanikio ya hersi ni kufanya propaganda kwa Simba? Niwaeleze tu Simba ya Sasa ni tishio kila idara kuanzia ujasusi ...taarifa za kipotoshaji lazima zitolewe ufafanuzi na kujibiwa....kweli yanga are so cheap.Mnajua kucheza mziki wa yanga. Hapo ndo mnapopigwa gape na hersi
Jana Hawa maboya wakajipa mechi ya lazima ili angalau waongeze gape ya pointi wajiskie amani ..mana kupumuliwa kisogoni si mchezo..hizi propaganda za volcano zimetengenezwa na wao wakishirikiana na viongozi wao ili kuivuruga Simba tena zimeanza Jana timu ikisafiri..they can't stand Simba successful era this year...Hivi bado mnawajibu nyuma mwiko 🤣 🤣
Sure mwaka wetu huu...Jana Hawa maboya wakajipa mechi ya lazima ili angalau waongeze gape ya pointi wajiskie amani ..mana kupumuliwa kisogoni si mchezo..hizi propaganda za volcano zimetengenezwa na wao wakishirikiana na viongozi wao ili kuivuruga Simba tena zimeanza Jana timu ikisafiri..they can't stand Simba successful era this year...
Veery cheapKwaio mafanikio ya hersi ni kufanya propaganda kwa Simba? Niwaeleze tu Simba ya Sasa ni tishio kila idara kuanzia ujasusi ...taarifa za kipotoshaji lazima zitolewe ufafanuzi na kujibiwa....kweli yanga are so cheap.
Mar amiaka miwiliKuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.
Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita wakaweka ngumu hadi mkataba wake ulipoisha na hakusaini mwingine ndio maana alikaa nje miezi kadhaa bila kucheza kwa kuwa mkataba uliisha wakati dirisha letu limefungwa. Simba Sc ilimchukua Mpanzu bure pasipo kulipa hata senti moja AS Vita.
Hela iliyolipwa ni kwa timu iliyomkuza Mpanzu. Mkataba wa Mpanzu na Simba ni wa miaka mitatu.
Yanga ndo wanacheza mziki wa Simba maana wanasubiri mjezaji wa Simba achoke na aachwe ndo wamchukue Kisha wamwone hersi shujaaMnajua kucheza mziki wa yanga. Hapo ndo mnapopigwa gape na hersi
Kama ni hivyo,nasemajeee....HATUCHEZI!Mna nia ovu ninyi makolo.😜Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.
Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita wakaweka ngumu hadi mkataba wake ulipoisha na hakusaini mwingine ndio maana alikaa nje miezi kadhaa bila kucheza kwa kuwa mkataba uliisha wakati dirisha letu limefungwa. Simba Sc ilimchukua Mpanzu bure pasipo kulipa hata senti moja AS Vita.
Hela iliyolipwa ni kwa timu iliyomkuza Mpanzu. Mkataba wa Mpanzu na Simba ni wa miaka mitatu.
Na nusuMkataba ni miakà miwili
Mkataba wa Mpanzu na Simba ni wa miaka mitatu.
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tuMkataba ni miakà miwili