Kuhusu Dawa za Madagascar

baba swalehe habari za siku nyingi naona unajifukiza kwa lugha ya bibi yetu Malkia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mzungu mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa ya kupokea misaada bila kupitia kwa wataalamu wa vipimo yatajirudia tena.
Kama test kits za msaada tunadai ni mbovu maana yake tulizizindua kabla ya kuzitest,
Kosa lile lile litafanyika kwa kutumia dawa ya msaada kutoka madagasca bila test za kuhakiki
 
Kabudi waziri wa mambo ya nje na mtaalamu was tiba cov 19, kulikoni?? sijamwona waziri wa afya na team ya wataalamu wa wizara
 
Desperate times call for desperate measures.

Also there is no plural of media.
 
All in all we don't need lockdown, we'll be in horrible condition more than this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…