dragon ball
Member
- Jul 17, 2015
- 57
- 4
Kwenye prospectus ya vyuo vingi vinasema ili ufanye UE unatakiwa uwe na course work ya 16/40 na ufaulu kwa ujumla ni 40/100. UE ili iwe 40%, unatakiwa upate 24/60. Ikiwa UE ipo chini ya 24 na mwanafunzi amefaulu kwa jumla juu ya 40%, watamuwekea supp sababu ya UE au atakuwa amefaulu?
