Hivi wadau kuna ukweli wowote kuhusu maksi za continuous assessment kuchangia kwenye matokeo ya mtahiniwa ya mwisho,hapa naongelea kwa form 4 na form 6.
Ukweli upo. Ukitaka kuhakikisha, tembelea website ya NECTA, kisha upakua pdf yenye muongozo unaonesha jinsi c.a inavyochangia katika matokeo ya mwisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.