kuhusu computer graphics na computer networking

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,288
2,000
Wakuu naomba kuuliza hivi!
kati ya hizo kozi kama zinavyotolewa kwenye program ya Bsc.informatics.Je, ipi ina lipa kwenye soko la ajira ? na kama inategemeana nifafanulie maana mwaka huu nina field ntachagUa kati ya hizo ili nikaongeze ka uwezo uko uko ila mawazo yenu jamani naitaji moja kama ntapiga field moja kati ya hizo ndiyo yatakuwa maisha yangu msaada wa kimawazo wakuu maana zote naziweza vizuri ila nataka moja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom