ktika channel zilizoathirika mojawapo ni clause tv chaajabu kabla mitambo haijazimwa kwenye digital ilikuwa inaonekana vzr baada ya analojia kuzimwa nayo haionyeshi pia ninavyomjua ndugu yangu K*B*NDE ingekuwa labda ya mjasiriamali we2 yule angeidadavua kwenye jahazi bila aibu pia najiuliza hivi imekuwaje hii ki2 au ndio chakachua nichakachue ndio hadi kwenye digital! karibuni wana jamvi