Kuhusu camera za simu

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn naomben kufahamishwa kuhusu hz camera za cm,
je utajuaje kuwa hz cmr ni nzuri?
Maana huwa naona zmeandikwa 2mega pixel, 3.4mp, 6mp,
je hz mp's zina maana gani?
Any help plz!
 
ubora wa picah the more megapixel invyokuwa kubwa the more quality ya oicha inavyokuwa juu
 
Jmn naomben kufahamishwa kuhusu hz camera za cm,
je utajuaje kuwa hz cmr ni nzuri?
Maana huwa naona zmeandikwa 2mega pixel, 3.4mp, 6mp,
je hz mp's zina maana gani?
Any help plz!


jinsi hiyo namba inavyokuwa kubwa ndivyo ubora wa picha unavyoongezeka..
hivyo 6 mega inatoa picha bora zaidi ya 4 mega n.k
 
Thankx sana
lkn hebu angalien Gsm wanavyosema
hapa

Yap ni kweli mkuu megapixel kubwa si factor pekee itakayodetermine ubora wa camera japo ndio factor kubwa.

Mfano camera ya 12mp ila ina flash mbovu itachukuaje picha nzuri usiku?

Camera nyengine inaweza kua auto focus icadectect hichi nini na hichi nini kuboresha ubora wa picha.

Nyengine zina zoom vizuri kiasi kwamba hata mdudu mdogo anaonekana vizuri

So muunganiko wa factor nyingi hudetermine quality ya camera ya simu

Screen-Shot-2012-08-27-at-18.16.47.jpg


Picha ya juu hapo imechukuliwa na nokia 808 pureview 41 megapixel best technology kwa camera za simu kwa sasa.

Megapixel inaifanya hio picha iweze kua nzuri hata kama itatolewa kwenye copy kubwa mfano wanatengeneza tangazo na picha inakua printed kwenye karatasi ya A3. Kitu kama hicho hakiwezi fanywa na camera ya 2mp

Autofocus- imefanya maeneo muhimu (mdudu) yaonekane vizuri kuliko maeneo yasiyo muhimu (ardhi)

Zoom- japo hiko kimdudu ni kidogo kimeonekana kwa quality kubwa kama vile ni mkubwa na yeye
 
Pixels ni dots zinazotengeneza picha yoyote digital, kwa mfano ukizoom in sana kwenye picha utaanza kuziona square dots hizo ndo pixels, kwa hiyo kamera ya megapixels 6 inakamata doti millioni 6.

Lakini ubora wa camera hautokani na wingi wa doti tu, kuna mambo mengi ya kuzingatia, kama quality ya lens, size ya sensor inayokamata mwanga etc, ndo maana camera nyingi za digital hata zile simple kabisa bado zinazifunika simu kwa sababu zina nafasi ya kuweka lenzi bora na sensors bora.

Megapixel nyingi zitasaidia kama unataka kuiprint picha katika size kubwa au unataka ku zoom in kwenye picha, so really ukishaanza kuingia kwenye 5 MP na kwenda juu unless unataka kuprint hizo picha kwenye size kubwa ni waste of space tu.
 
Back
Top Bottom