Kuhusu Buswita

ndemesi

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
380
121
Yanga wamefanikiwa kumsainisha Pius buswita mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili.Awali ilielezwa kua buswita amesaini Simba ila sasa ni rasmi buswita ni mali ya Yanga.Busitwa anasajiliwa akiwa ni mchezaji wa tatu kusajiliwa na Yanga baada ya kimya kingi.Kwa wasiomjua Pius buswita ni kiungo kutoka Mbao fc ya jijini Mwanza.Hongereni Yanga fc
 
Back
Top Bottom