Kuhusu android tv box

mwenebhukabo

Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
24
Reaction score
11
Habarini wanajamvi.
Naomba kupata uzoefu juu ya android tv box.yan matumizi yake,changamoto zake,na uzuri wake.nahitaji kununua ila sina uzoefu nayo.
Shukrani
 
Habarini wanajamvi.
Naomba kupata uzoefu juu ya android tv box.yan matumizi yake,changamoto zake,na uzuri wake.nahitaji kununua ila sina uzoefu nayo.
Shukrani
Ni nzuri sana!

Android TV box primarily watu wanazitumia kuangalia IPTV na kwa hapo unakua na double advantage sio tu kutumia Kodi ambayo ina changamoto zake, bali unaweza kufaidi Android applications mfano kama Mobodro ambayo ni popular na ni "internet bundle friendly" ukilinganisha na android apps nyingine ila hii reason ni valid tu kama unatumia net za kupiwa na vibaba!

Ni nzuri sana naona watu huwa wanaunganisha Simu zao na TV ila ki ukweli Simu nazo zina mambo mengi,Unaweza kuwa unacheki TV mtu akakupigia na connections zikapotea au pia unaweza kuwa unacheki TV at the same unaitaji kuwasiliana,hivo hivi vidude ni muhimu sana!

Besides hiyo Mobodro kuna Android apps nyingi kuanzia free mpaka paid!

Incase ukifanikiwa kununua waweza pitia hii link ime List apks kibao za Bure

Index of /apk

 
Naomba kufahamu changamoto zilizoko kwenye kodi
 
Naomba kufahamu changamoto zilizoko kwenye kodi

Kodi inaitaji mtu ambae ni tech savy ila mtu wa kawaida asojua kuhangaika atakoma ubishi
Unlike hizo android apps ambazo ziko well designed sababu zinawaingizia hela kwa kupitia matangazo mfano!

Angalia hizo Errors mbili kwenye Picha!


 
Wapi inapatikana kwa Dar?
Kuna watu wanaziuza humu jamiiforums check na Mwl RCT kwanza kama Hana check blog moja inaitwa m2tntz.blogspot.com,Chukua namba za huyo jamaa muulize kama anazo!
 
Asante sana ndugu naamin itanisaidia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…