Weka namba ya mthihan WA kidacho cha 6 nitizame matokeo yako cos ninawasiwasi na ufaulu wako
stupid people ka ww they exists only in TZ kwahyo unahisi sababu ya kufeli ni mapenzi kuna watu wanasoma ktk facilities mbovu I repeat STUPID
Kama aliishia form 4 tena kwa alama ya bashite je
Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.Haaa haaa Haaa teeeh teeeh.
Nina vyeti halali na matokeo ya kuthaminika.
Ila hiyo, grade system ni ya kawaida sana. Ila tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka matokeo makubwa bila kusoma tena huku mtaani mnachezea mikunyange na mapapunchi kisha mnategemea kufaulu vizuri.
Kwa hiyo, someni kwa bidii, hizo alama ni za kawaida sana.
Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.
Huwez sema wanafunzi wote wana mawazo ya kingono kama wewe
Kumaamake walai...hzo grades hazitakaa zitokeeNimesikia eti alama za ufaulu ni kama zifuatazo by Ndalichako Bungeni.
A: 85-100
B: 75-84
C: 70-74
D: 61-69
E: 51-60
S: 35-50
F: 0-34
Tusubiri kama ni kweli. Kuna kutu kimejificha , kitajulikana with time.
Nasikia eti na muda wa kufanya mtihani umebadilika.
Kwa waingereza
Grading
A level examinations are graded on a scale of A* to E. Students that take the full A level in addition to the AS are awarded one grade for each subject, with the AS results being subsumed into the A level point score if not ‘cashed in’ as a terminal credential after the first year of study. For universities using the centralized Universities and Colleges Admissions Services (UCAS) process for admission, grades are also attributed Tariff Points (see below for an explanation of Tariff Points) as follows for each A level grade:
.....kam ni kweli izo alama tutaanza kuxoma huku tunatembea........
Amekanusha! nadhani it was not trueKumaamake walai...hzo grades hazitakaa zitokee
Najaribu kufikira mtu wa PCB apate 85 and above! 75-84!Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.
Huwez sema wanafunzi wote wana mawazo ya kingono kama wewe