Walishatangaza kazi mwezi wa nane mm nilibahatisha kupeleka CV tu.wakuu hivi ni utaratibu gani unatumika kupata ajira Azam media? sijawahi kuona tangazo la kazi la hawa jamaa but cha kushangaza jana nimepanda bus na watu kama kumi wana uniform za Azam media... na wote wana Asili ya kihindi
Huu ndio unafiki sasa.mna maanisha hakuna wakristo wanafnya kazi Azam au haya ndo majungu na uchochezi wa kidini???
wakuu hivi ni utaratibu gani unatumika kupata ajira Azam media? sijawahi kuona tangazo la kazi la hawa jamaa but cha kushangaza jana nimepanda bus na watu kama kumi wana uniform za Azam media... na wote wana Asili ya kihindi
nimepeleka cv na barua tangu mwezi wa ramadhani ila bado cjaitwa ila kuna watu wameanza kazi mmoja ni rafiki yangu. Ila sijakata tamaa namini nitaitwa siku moja.
ungepeleka kati ya January na December kule ni suala la secular employment si dini.