Kuhonga vs kuhongwa

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Sipendi tena sipendi kuonga mwanamke sijui nina kosa hapo?unakuta wote tuna kazi ila mwenzangu zake zake zangu zake.damn.mbona tulipoanza mapenzi ulikuwa asbh tu umeshapiga cm baby umeamkaje?lakini leo tumeunga magari umeegemea kwangu.ushindwe!tabia hizi zikome.kwenu wadada
 
Mwanaume ndio kiongozi unatakiwa uonyeshe kuwa unaweza ukamlea na kumgharamia mwanamke, kuhonga kawaida sana! Unataka kuniambia ukiwa na familia wewe na mke wako wote mtakuwa mnagharamia na kulea familia sawa? Kama sio ndio uanze kuonyesha sasa kwa hao!
 
Kwani kakulazimisha?? Halafu huu ni unafiki mkubwa nenda ka mwambie moja kwa moja to her face instead of coming here while ukiwa nae una mwambie unampenda sana. Kama umechoka kaa pembeni lakini usimnyanyase na kumsimanga kisa eti unampa hela shame on u.
 
Hahahaha,jasnia ni kioo cha jamii.ndivyo mlivyo nyie lol.kama kimekuuma saga chupa ule.mm mbona sichukui madem kama wewe lol!limekuganda kooni.tumia jik utameza
 

Kama majukumu huyawezi waachie wengine
 
The strongerst man is the one who provide his family with yams throughout the year."Nigerian proverb."
 

Kwanini msioane?
 

Tafuta kuoa kijana. Achana na hiz habari za gelofrendi boifrendi.
Vibweka haviishi
 
kama ulianza kwa kuonga basi hiyo ndio itakua lifestyle yenu,so acha kulalamika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…