Kuhonga si tatizo tena kwangu.

Endelea hivyo hivyo tena ongeza na dau lifika hata laki 5 kwa siku
 

R.i.P .........
 
Sasa mkubwa unataka tukushauri, tukusifie, tukupigie makofi au tukufanyeje?
 
ngoja na mie nijaribu kumention miss strong
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mke wa kuoa ww usijejutia kama mzee gurumo kaponda mali enzi za ujana na kifo hakijaja hatimaye anadharirika kwa kupewa kigari ambacho hakiwezi kusafiri km 500 bila kupumzika wakati alikuwa na uwezo wa kununua hata rangerover
 
JEKI mwenzio nimeweza tayari. Ebu na wewe jaribu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…