Kuhonga si tatizo tena kwangu.

miss strong hebu nifundishe namna ya kukopi maelezo ya mcangiaji kama unavyofanya, bado mgeni, pia ni pm.

Ukiwa log in chini ya huyo unaetaka kum quote kama simu imeandikwa reply then una click alafu unaandika yako sasa........

Kama unataka kum mention mtu unaandika @ halafu huachi nafasi then unaandika jina lake kama miss strong, itatokea hivi miss strong
 
Last edited by a moderator:
Wamagori, umesema sawa, tunasahau kujiwekea hazina mbinguni kusiko na nondo wala kutu

pia tunasahau kuwa mali zetu zilipo ndipo na mioyo yetu itakapokuwepo

ukiwekeza kwenye papuchi na moyo wako utakua huko

Tuombe Neema ya Mungu tujue duniani ni wapitaji tuuuuuuuuu jamani
 
Last edited by a moderator:

Ukishahonga unapewa? au ndio story tu!
 
hongera kaka, unaweza kuhonga wangapi kwa siku, mwezi au mwaka?
 
umepata wapi za kuhonga??
au umekuwa punda utujuze?
 
Endeleeni kuhonga mie nawagonga bure neggirl
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…