Tafuta hela uachane na stresi za kuwaza utahonga shilingi ngapi. Wewe ukiwa unapata stresi usiku huu mkubwa, mwenzio ashatumiwa ka-milioni ka matumizi, nikuulize ataambatana na wewe ?

Nyie ndio mnawapotosha wakina dada mpaka wanaamua kudanga iwe career. Hao wanaume wa kuonga milioni hawapatikani kirahisi rahisi tu. Kibongo bongo hata 5% ya wanaume wote haifiki