senkoP
Senior Member
- Aug 28, 2017
- 180
- 207
Jamani wandugu hivi ni kwanini unaweza kujenga nyumba ya kuishi ikawa iko tayari kwa matumizi au nyumba ulikuwa unaishi halafu ukaondoka kwa muda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba huwa ina haribika ??
Kuna sayansi gani hapo ?? Kuna ofisi tumejenga ikaisha ila hatujahamia humo kwasababu kuna vitu havija kamilika cha ajabu lile jengo limeanza kuharibika mwaka wa 3 huu hatujahamia ......sijajua leteni sababu wandugu