Habari za saa hiz wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikijaribu kuweka earphone kwa smartphone nacikia sauti ya muungurumo flani na sauti ya mziki/radio haisikiki kabisa!!! Nimejaribu kwa aina tofauti tofauti za earphones lakini tatizo ni lile lile
Je hili tatizo linaweza kurekebishwa kwa fundi au ndo mazimaaa?
Naomba kuwasilisha