round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 935
- 3,014
Umekutana na mwanamke umeomba namba umepewa, unamcheki anakuwa mzito ila umemtumia vipesa kawa mwepesi kama nyoya
Mwanamke huyo mkikutana hana utofauti na wa kununua, ukitosheka na huduma chapa lapa, huna haja ya kujiproove wala kumridhosha, Umelipa uridhike sioumridhishe.
Nashangaa sana watu wanaohonga na wanakamia mechi utadhani wamelipwa, Kuhusu kukomoa itoe kichwani kabisa, Huwezi shindana na ulikotoka chief, Kibaolojia mwanaume akipiga round 3 hoi taabani, wao wanaweza kuhudumia hata watu 20 daily.